Your native language

عربي

Arabic

عربي

简体中文

Chinese

简体中文

Nederlands

Dutch

Nederlands

Français

French

Français

Deutsch

German

Deutsch

Italiano

Italian

Italiano

日本語

Japanese

日本語

한국인

Korean

한국인

Polski

Polish

Polski

Português

Portuguese

Português

Română

Romanian

Română

Русский

Russian

Русский

Español

Spanish

Español

Türk

Turkish

Türk

Українська

Ukrainian

Українська
User Avatar

Son


Interface


Niveau de difficulté


Accent



langue de l'interface

fr

Lyrkit YouTube Lyrkit Instagram Lyrkit Facebook
Politique de cookies   |   Soutien   |   FAQ
1
s'inscrire / se connecter
Lyrkit

faire un don

5$

Lyrkit

faire un don

10$

Lyrkit

faire un don

20$

Lyrkit

Et/Ou soutenez-moi sur les réseaux sociaux. réseaux:


Lyrkit YouTube Lyrkit Instagram Lyrkit Facebook
Rayvanny

One Day Yes

 

One Day Yes

(album: Flowers III - 2023)


Sidanganyi mnapendezana
Naona umejipata umejipata
Anakuita honey, mmefanana
Utasema mapacha, oh mapacha nnnhh

Nitajaribu kukusahau mwendelee
Hata kama umenikosea nikusamehe
Kumbukumbu kiwachwani ipotee
Labda namimi nitapendwa one day

Kweli wivu ninao na roho inauma
Japo najikaza ila mapenzi yanauma
Moyo umeondoka nao huruma hauna
Naona mmependana bora nikae pembeni
Nisubiri wakwangu

One day yes
One day yes
One day yes
Nitapata wakwangu
One day yes
One day yes
One day yes
Na mimi nitapendwa

Unavyonisema vibaya hivi unadhani sisikii
Mnavyopost kunikomoa hivi unadhani siumii
Moyo ume retire kupenda kama hivi sirudii
Nilipanda mbegu ya upendo nimevuna pressure na BP

Najipa moyo mchana na usiku
Aya maumivu yatageuka njozi
Najipa moyo itafika siku
Mtoto wa mtu atanifuta machozi

Nitajaribu kukusahau mwendelee
Hata kama umenikosea nikusamehe
Kumbukumbu kiwachwani ipotee
Labda namimi nitapendwa one day

Kweli wivu ninao na roho inauma
Japo najikaza ila mapenzi yanauma
Moyo umeondoka nao huruma hauna
Naona mmependana bora nikae pembeni
Nisubiri wakwangu

One day yes
One day yes
One day yes
Nitapata wakwangu
One day yes
One day yes
One day yes
Na mimi nitapendwa

fait

Avez-vous ajouté tous les mots inconnus de cette chanson ?