Your native language

عربي

Arabic

عربي

简体中文

Chinese

简体中文

Nederlands

Dutch

Nederlands

Français

French

Français

Deutsch

German

Deutsch

Italiano

Italian

Italiano

日本語

Japanese

日本語

한국인

Korean

한국인

Polski

Polish

Polski

Português

Portuguese

Português

Română

Romanian

Română

Русский

Russian

Русский

Español

Spanish

Español

Türk

Turkish

Türk

Українська

Ukrainian

Українська
User Avatar

Suono


Interfaccia


Livello di difficoltà


Accento



linguaggio dell'interfaccia

it

Lyrkit YouTube Lyrkit Instagram Lyrkit Facebook
Gestione dei Cookie   |   Supporto   |   FAQ
1
registrati/accedi
Lyrkit

donare

5$

Lyrkit

donare

10$

Lyrkit

donare

20$

Lyrkit

E/o supportarmi sui social. reti:


Lyrkit YouTube Lyrkit Instagram Lyrkit Facebook
Rayvanny

Wasi Wasi

 

Wasi Wasi


Heyy...
Hmm heyy heyy...
Mmhmhmmm...

Upepo mwanana
Nawe upo kifuani mwangu
Jua likizama
Mikono salama
Karibu kwenye moyo wangu
Mi baba uwe mama
Aah...
Zima taa washa mishumaa
Nilishe kama na njaaaa
Aah...
Kila dakika kila masaa
Palilia penzi litasinya
Aah...

Sura yako macho yako
Upole wa mama yako
We chaguo langu
Mama aah
Taswira yangu picha yako
Moyo wangu mali yako
We chaguo langu
Mama aah

Wasiwasi
Mwenzako sina
Maana niko na wewe
Wasiwasi
Tunza heshima
Niwe na ww milele
Wasiwasi
Uko na mm usiwe na
Wasiwasi
Uniaminiii
Usiwe na wasiwasi

Ntakuganda ruba
Pua na leso tufatane
Mahabuba
Tuwe mapacha tufanane
Wenye husuda wakiroga tutengane
Ongeza rutuba
Nije na pete tuoane

Supu chukuchuku
Miguu ya vikuku
Ayy
Utaua ehh
Utaua ehh
Na haya manusunusu
Ukinibusubusu
Ayy
Maua ehh
Maua ehh

Sura yako macho yako
Upole wa mama yako
We chaguo langu
Mama aah
Taswira yangu picha yako
Moyo wangu mali yako
We chaguo langu
Mama aah

Wasiwasi
Mwenzako sina
Maana niko na wewe
Wasiwasi
Tunza heshima
Niwe na ww milele
Wasiwasi
Ehhhh
Uko na mm usiwe na
Wasiwasi
Uniaminiii
Usiwe na wasiwasi

Fatto

Hai aggiunto tutte le parole sconosciute di questa canzone?