Your native language

عربي

Arabic

عربي

简体中文

Chinese

简体中文

Nederlands

Dutch

Nederlands

Français

French

Français

Deutsch

German

Deutsch

Italiano

Italian

Italiano

日本語

Japanese

日本語

한국인

Korean

한국인

Polski

Polish

Polski

Português

Portuguese

Português

Română

Romanian

Română

Русский

Russian

Русский

Español

Spanish

Español

Türk

Turkish

Türk

Українська

Ukrainian

Українська
User Avatar


インターフェース


難易度


アクセント



インターフェース言語

ja

Lyrkit YouTube Lyrkit Instagram Lyrkit Facebook
1
登録/ログイン
Lyrkit

寄付する

5$

Lyrkit

寄付する

10$

Lyrkit

寄付する

20$

Lyrkit

そして/またはソーシャルで私をサポートしてください。ネットワーク:


Lyrkit YouTube Lyrkit Instagram Lyrkit Facebook
Rayvanny

Magufuli Jembe

 

Magufuli Jembe


Jembe jembe jembe
Jembe jembe jembe

Tanzania ya leo inapendeza
Sababu ya magufuli
Nidhamu kwa watumishi wa umma
Twahudumiwa vizuri

Rushwa imekomeshwa sio kama zamani
Siku hizi hata vigogo wanafikishwa mahakamani
Fikra nzuri za baba wa taifa kaendeleza hadi leo
Asilimia arobaini ya mapato kwa maendeleo

Mtu wa msimamo mataifa mengi yamekoma
Mikopo isio na tija na miradi feki amekoma
Alisema imekuwa sirikali sasa ipo dodoma
Kajenga ikulu cha mwino na kaipiga teke corona

Aya flyover tazara ubungo, ndio!
Standard gauge je? ndio
Hospitali na zahanati? ndio
Shule bure kwa wanafunzi? ndio

Magufuli jembe
Linalima, linalima lima linalima
Magufuli jembe letu
Linalima, linalima lima linalima

CCM jembe
Linalima, linalima lima linalima
CCM jembe letu
Linalima, linalima linalima

Taifa nzima linamuombea mema magufuli
Wakulima kawapigania walipwe vizuri

Wamachinga, wanampenda
Madereva, wanampenda
Mama ntilie, wanampenda
Hadi watoto, wanampenda

Kina mama, wanampenda
Vijana na wazee, wanampenda
Hadi hadi wapinzani, wanampenda
Japo wanavunga, wanampenda

Haya maji na umeme hadi vijijini, ndio!
Nidhamu serikalini, ndio
Mambo nimetukwa toka juu hakuna, ndio
Ndege kama zote, ndio

Magufuli jembe
Linalima, linalima lima linalima
Magufuli jembe letu
Linalima, linalima lima linalima

CCM jembe
Linalima, linalima lima linalima
CCM jembe letu
Linalima, linalima linalima

Haya twende pasha, pasha
Pasha, pasha pasha
Kina mama pasha, pasha
Pasha mikono pasha

Kina baba pasha, pasha
Pasha pasha pasha
Twendee

Magufuli, choma
Mama samia, choma
Kassim majaliwa, choma
Hadi mangula, choma

Haya twende pole pole, piga makofi
Mashiruali piga makofi
Dr sheni piga makofi
Wigulu chemba piga makofi

Makonda mikono juu
Kushoto kulia, kushoto kulia
Kibakwala mikono juu
Kushoto kulia, kushoto kulia

Mavunde mikono juu
Kushoto kulia, kushoto kulia
Tatulia mikono juu
Kushoto kulia, kushoto kulia

Peperusha bendera, aah bendera, madiwani wote
Peperusha bendera, aah bendera, wabunge wote
Peperusha bendera, aah bendera, kina mama wote
Peperusha bendera, aah bendera, CCM
Peperusha bendera, aah bendera

終わり

この曲の聞きなれない単語はすべてあなたが追加したのですか?