Your native language

عربي

Arabic

عربي

简体中文

Chinese

简体中文

Nederlands

Dutch

Nederlands

Français

French

Français

Deutsch

German

Deutsch

Italiano

Italian

Italiano

日本語

Japanese

日本語

한국인

Korean

한국인

Polski

Polish

Polski

Português

Portuguese

Português

Română

Romanian

Română

Русский

Russian

Русский

Español

Spanish

Español

Türk

Turkish

Türk

Українська

Ukrainian

Українська
User Avatar


インターフェース


難易度


アクセント



インターフェース言語

ja

Lyrkit YouTube Lyrkit Instagram Lyrkit Facebook
1
登録/ログイン
Lyrkit

寄付する

5$

Lyrkit

寄付する

10$

Lyrkit

寄付する

20$

Lyrkit

そして/またはソーシャルで私をサポートしてください。ネットワーク:


Lyrkit YouTube Lyrkit Instagram Lyrkit Facebook
Diamond Platnumz

Ramadhan

 

Ramadhan


Yeah Ramadhan
Yeah Ramadhan
Yeah Ramadhan
Yeah Ramadhan
Yeah Ramadhan
Yeah Ramadhan
Yeah Ramadhan
Yeah Ramadhan

Faraja, faraja mwezi umefika tena
Tulomngoja kaja tuzichume neema
Molah, nijalie na mi hisani (Amiin)
Na sadaka nizijali (Amiini)
Nipe rizki za halali (Amiin)
Karima
Niwezeshe pia futari (Amiin)
Kwa wenzangu wasio na hali
Oh yarabi tafadhali (Amiin)
Karima
Oh mi mwanadam sijakamilika na madhaifu
Na pia unafahamu
Tunaishi kwenye dunia ya majaribu Allah

Nilindie imani Molah, imani Molah
Imani funga yangu iwe salama
Nilindie imani Molah, imani Molah
Imani funga yangu iwe salama (Ramadhan)

Yeah Ramadhan
Yeah Ramadhan
Yeah Ramadhan
Yeah Ramadhan
Yeah Ramadhan
Yeah Ramadhan
Yeah Ramadhan
Yeah Ramadhan

Yah-a-a-a-ah
Ya-a-a-a-ah, a-a-a-a-a-ah
Yah-a-a-a-ah
Ya-a-a-a-ah, a-a-a-a-a-ah
Alhamdulillah, Alhamdulillah
Umenipa pumzi, nimeuona tenaa
Wallah furaha, wallah furaha
Nipo tayari mvuvi kuvua neema

Yarabi nafsi yangu, roho yangu ijaze imani
Nirindie funga yangu ibada yangu na mingi mitihani
Mwezi ulo mwema uja kwetu waumini
Funga ni imara afya kwetu mwilini
Ni vyema kutolala kumi la mwisho
Kesha msikitini
Tupate na maghfira kwa Mola manani

Nilindie imani Mola, imani Mola
Imanii funga yangu iwe salama
Nilindie imani Mola, imani Mola
Imani funga yangu iwe salama

Yeah Ramadhan
Yeah Ramadhan
Yeah Ramadhan
Yeah Ramadhan
Yeah Ramadhan
Yeah Ramadhan
Yeah Ramadhan

Enyi waja wenzangu tulojidhurumu nafsi zetu
Tusikate tamaa na rehma za mwenyezi Mungu
Hakika mwenyezi mungu usamehe dhambi zote
Yeye ni mwenye kusamehe na mwenye kurehemu
Aswahumu lii, funga ni yake yeye
Waanaajizib
Na yeye ndie anae lipa

終わり

この曲の聞きなれない単語はすべてあなたが追加したのですか?