Your native language

عربي

Arabic

عربي

简体中文

Chinese

简体中文

Nederlands

Dutch

Nederlands

Français

French

Français

Deutsch

German

Deutsch

Italiano

Italian

Italiano

日本語

Japanese

日本語

한국인

Korean

한국인

Polski

Polish

Polski

Português

Portuguese

Português

Română

Romanian

Română

Русский

Russian

Русский

Español

Spanish

Español

Türk

Turkish

Türk

Українська

Ukrainian

Українська
User Avatar

소리


상호 작용


난이도


악센트



인터페이스 언어

ko

Lyrkit YouTube Lyrkit Instagram Lyrkit Facebook
쿠키 정책   |   지원하다   |   FAQ
1
등록/로그인
Lyrkit

기부하다

5$

Lyrkit

기부하다

10$

Lyrkit

기부하다

20$

Lyrkit

그리고/또는 나를 사회적으로 지지해 주세요. 네트워크:


Lyrkit YouTube Lyrkit Instagram Lyrkit Facebook
Rayvanny

Mama

 

Mama

(앨범: Unplugged Session - 2022)


Kabla haijanijua dunia, ulinijua mama
Kabla sijataja jina lingu nilitajina lako mama
Kwenye maisha magumu ulionyeshatabasamu laakoo
Ulipopitia machungu, ulificha nisione chozi lako
Mzigo wa majukumu bado hukunitupa damu yako
Hata nikupe nini bado stolipa wema wako
Uliningojeaa mama kabla sijaanza kunyonya
Nikatambaa nikatembea ukabangaiza nikasoma
Nakuombea mama ama uniona
Dunia nzima inikatae upendo hutokomaa

I love you uu mama
I love you uu mama
I love you uu mama
I love you uu mama

Mama mama
We mama yangu
Mama mama
I love you mama
Mama mama
We mama eee
Mama mama
Mama eee

Awe kilema awekipofu ni mama
Awe maskini ungwa wa akili ni mama
Hata awe bubu haongei ni mama
Awe omba omba barabarani ni mama
Kunamwingine amenyanyasikika kwa ndugu na jamaa
Mwisho akafukuzwa nakuranda randa kwenye mitaa
Jua lake mvua yake anayeseka na njaa
Kichwani mawazoo muda wote ameshika taama
Anabaki akisema uko wapi mama
Rudi nikuone nateseka sana
Aaiii yeye uko wapi mama
Mwanao nakumiss pumzika salama

I love you uu mama
I love you uu mama
I love you uu mama
I love you uu mama

Mama mama
We mama yangu
Mama mama
I love you mama
Mama mama
We mama eee
Mama mama
Mama eee

완료

이 노래에 생소한 단어를 모두 추가하셨나요?