Your native language

عربي

Arabic

عربي

简体中文

Chinese

简体中文

Nederlands

Dutch

Nederlands

Français

French

Français

Deutsch

German

Deutsch

Italiano

Italian

Italiano

日本語

Japanese

日本語

한국인

Korean

한국인

Polski

Polish

Polski

Português

Portuguese

Português

Română

Romanian

Română

Русский

Russian

Русский

Español

Spanish

Español

Türk

Turkish

Türk

Українська

Ukrainian

Українська
User Avatar

Dźwięk


Interfejs


Poziom trudności


Akcent



język interfejsu

pl

Lyrkit YouTube Lyrkit Instagram Lyrkit Facebook
Polityka Cookie   |   Wsparcie   |   FAQ
1
zarejestruj się / zaloguj
Lyrkit

podarować

5$

Lyrkit

podarować

10$

Lyrkit

podarować

20$

Lyrkit

I/lub wesprzyj mnie w mediach społecznościowych. sieci:


Lyrkit YouTube Lyrkit Instagram Lyrkit Facebook
Diamond Platnumz

Nikuone

 

Nikuone

(album: A Boy From Tandale - 2018)


Mangapi niliona
Wala sikujali
Nikafumba macho
Na tena yaliyonchoma
Maumivu makali
Manyanyaso
Si mzima wa nafsi
Siwezi kudanganya
Uwepo wako
Unanifanya nalia
Fanya urudi basi
Japo kuntazama
Oh, me mwenzako
Ukweli naumia

Kinachiniongeza kizunguzungu
Hata huniwazi
Kutwa nakesha nikimuomba mungu
Wallah simanzi
Kinachoniongeza mawazo
Hata huniwazi
Kutwa nakesha nikilalamika
Njoo basi nikuone

Nikuone (nikuone)
Nikuone (nikuone)
Nikuone (nikuone mama)
Ukowapi nikuone
Nikuone (nikuone)
Nikuone (japo nipone)
Nikuone (niiiikuone)

Oh, na roho yangu inaenda
Manjegere manjegere manjegere
Ah, roho yangu
Manjegere manjegere manjegere
Nimekukumbuka sana, oh
Manjegere manjegere manjegere
Mwenzio roho yangu
Manjegere manjegere manjegere
Hata silali

Kutwa nzima nawaza
Kisa nini darling
Kama sikukupa raha
Bado sijajua
Namaliza naianza
Nijapo tafakari
Njoo uniwashie taa
Kiza kitaniua
Muda mwingine nakesha tuu macho
Usingizi sina
Ikinijiaga tu sura yako
Huwa nazizizma
Mpaka nashikwa
Kigagaziko hata maneno kuyaongea
Yote sababu ya masikitiko
Haki ya mungu unanionea

Kinachiniongeza kizunguzungu
Hata huniwazi
Kutwa nakesha nikimuomba mungu
Wallah simanzi
Kinachoniongeza mawazo
Hata huniwazi
Kutwa nakesha nikilalamika
Njoo basi nikuone

Nikuone (nikuone)
Nikuone (njoo basi nikuone)
Nikuone (nikuone mama)
Ukowapi nikuone
Nikuone (nikuone)
Nikuone (eh eh eh nipone)
Nikuone (niiiikuone)

Oh, na roho yangu inaenda
Manjegere manjegere manjegere
Ah, roho yangu
Manjegere manjegere manjegere
Nimekukumbuka sana, oh
Manjegere manjegere manjegere
Me mwenzio roho yangu
Manjegere manjegere manjegere
Hata silali

Niliyoyasikia ya leo
Makubwa
Afadhali ya jana
Makubwa
Huwaga naona kwa video
Makubwa
Aah... Ni mazito mama
Niliyoyasikia ya leo
Makubwa
Afadhali ya jana
Makubwa
Huwaga naona kwa video

Oh, na roho yangu inaenda
Manjegere manjegere manjegere
Ah, roho yangu
Manjegere manjegere manjegere
Nimekukumbuka sana, oh
Manjegere manjegere manjegere
Me mwenzio roho yangu
Manjegere manjegere manjegere
Eeh... Hata silali

zrobione

Czy dodałeś wszystkie nieznane słowa z tej piosenki?