Your native language

عربي

Arabic

عربي

简体中文

Chinese

简体中文

Nederlands

Dutch

Nederlands

Français

French

Français

Deutsch

German

Deutsch

Italiano

Italian

Italiano

日本語

Japanese

日本語

한국인

Korean

한국인

Polski

Polish

Polski

Português

Portuguese

Português

Română

Romanian

Română

Русский

Russian

Русский

Español

Spanish

Español

Türk

Turkish

Türk

Українська

Ukrainian

Українська
User Avatar

Som


Interface


Nível de dificuldade


Sotaque



Interface de linguagem

pt

Lyrkit YouTube Lyrkit Instagram Lyrkit Facebook
Política de cookies   |   Suporte   |   FAQ
1
cadastre-se / faça login
Lyrkit

doar

5$

Lyrkit

doar

10$

Lyrkit

doar

20$

Lyrkit

E/ou me apoie nas redes sociais. redes:


Lyrkit YouTube Lyrkit Instagram Lyrkit Facebook
Harmonize

Atarudi

 

Atarudi


Na ye ni mwanadamu, Na dunia tunapita
Kama kupata kwa zamu, Oooh Zamu, Yangu itafikaa
Siwezi kana damu, Kesho wataja nizika
Ila ningependa afahamu, Haya mateso aloniipa

Mmmh.! Tena mwambieni aloninyima mimi, Ndio kampa yeyee eeeh
Kupata foleni, Nasubiri yangu mimi, Hata icheleweeeeh

Oooh Oooh Ooooh
Sina furaha naigiza ilimradii, Watoto wasijihisi vibaya
Huyu mdogo anauliza Eti Daddy, Mama ameihama kaya
Cha kujibu sina nabaki tu kusemaaaaa

Atarudii, Atarudi mama
Atarudi, Anawapenda sana
Atarudi, Atawaletea zawadi
Atarudi, Eeeeh Atarudi mama
Atarudi, Atarudi mama
Atarudi, Anawapenda sana
Atarudi, Atawaletea Zawadi
Atarudiiiiih

Siwezi sema sijui tatizo, Hali yangu duni imefanya ukanikimbia
Ni vyema ungefanya maigizo, Mara kumi usingenizalia
Mmmh, Ingali Mapenzi pekee, Ningesema ni changamoto nijifunzee
Ameniacha mpwekeee, Na watoto niwatunze
Eeeh,Ila siwezi laumu, Aaaaaaah,Wenda yupo sawa, Aaaah
Kipato changu kigumu,Aaaaah, Kutwa Bumunda na Kahawa, Aaaah

Eeeh.! Ila mwambieni aloninyima mimi, Ndio kampa yeyee eeh
Kupata Foleni, Nasubiri yangu mimi, Hata icheleweeeeh

Oooh Oooh Ooooh
Sina furaha naigiza ilimradii, Watoto wasijihisi vibaya
Huyu mdogo anauliza Eti Daddy, Mama ameiaga kaya
Cha kujibu sina nabaki tu kusemaaaaa

Atarudii, Atarudi mama
Atarudi, Anawapenda sana
Atarudi, Atawaletea zawadi
Atarudi, Eeeeh Atarudi mama
Atarudi, Atarudi mama
Atarudi, Anawapenda sana
Atarudi, Atawaletea Zawadi
Atarudiiiiih

Ohh My God It's Beta Sound

feito

Você adicionou todas as palavras desconhecidas dessa música?