Mtoto
(专辑: Unplugged Session - 2022)
Ah, ua red manukato ya pombee Nitoe baridii, tushushie na monde Yakhabibi, kweli Mungu hakosei Mtoto gaidi kanilegeza kushinee Aaiii wewe punguza kasi Ukisugua unacheza rafu utangoa nyasi Aiii wewe we punguza kasi Ukipanda juu unavyo rukaruka Kama farasi iii, nimekwama sijiwezi Nimezama kwenye dibwi la mapenzi Nimekwama sijiwezi Nimezama kwenye dibwi la mapenzi Ameniteaka Mtoto wa mama mkwe Mtoto wa mama mkwe (apunguze dozi) Mtoto wa mama mkwe Mtoto wa mama mkwe (ananichanganya) Wa mama mkwe Mtoto wa mama mkwe (ayeyeee) Mtoto wa mama mkwe (aah) Mtoto wa mama mkwe Aaah, mama kazaa, ona mtoto kifaa Akicheka kama anakuita, ukimwangalia tu unajaa Aaa anajua kuvaa, akvua unamwaga chapa Mtoto rangi moja inang'a, usoni hadi chini kwenye paa Papa nguruuuu, ananuruu Akishika ikulu, natoa ushuru Natokajeee? Hapa natokaje Geuka waonyeshe kwiyoo natokaje? Namwachaje? Jamani namwachaje? Ona mtoto alivyochombo namwachaje? Ee nimekwama sijiwezi Nimezama, kwenye dibwi la mapenzi Nimekwama sijiwezi Nimezamaa kwenye dibwi la mapenzi Ameniteka Mtoto wa mama mkwe Mtoto wa mama mkwe (apunguze dozi) Mtoto wa mama mkwe Mtoto wa mama mkwe (ananichanganya) Wa mama mkwe Mtoto wa mama mkwe (ayeyeee) Mtoto wa mama mkwe (aah) Mtoto wa mama mkwe