Chuchumaa Remix
(专辑: Sound From Africa - 2021)
Vanny Boy (Gachi B) Chuchumaa kama vile unafua Mama unapika basi nije kupakua Chuchumaa kwenye choo cha mabua Ila chunga mchanga usiingie kitumbua Chuchumaa! Kisha ulegeze nyonga hiyo Chuchumaa! Unitoneshe kidonda hiyo Chuchumaa! Ona nyoka anaconda hiyo Chuchumaa! Ufanye mlima ufanye mlima Kitonga hiyo Ai katoto, motomoto Moto moto, moto moto Aii baikoko, moto moto Joto joto, moto moto Kamata ukuta! Shuka mpaka chini take it down zungusha Kamata nakupa Nikishika nyundo nipasue kichupa Oweoo weooo Kina dada mko wapi? Oweoo weooo Basi muingie kati Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa! [Frenna:] [?] Ai katoto, moto moto Moto moto, moto moto Aii baikoko, moto moto Joto joto, moto moto Ebony more energy Call my guy bop on enemies Frenemies unfollow me You [?] emotions Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa! Kimbau mbau, tukunyema Pilau lau, nipe supu tena Mashau shau hapana sinema Yaani kanakula ndizi bila kumenya Basi nipe za ki China eeh, msamba Fanya kama Bruce Lee, msamba Viuno vya kusigina eeh, msamba Fanya kama Jet Li Unavyocheza kwenye chaki, nataka hakataki Na chumbani varangati kwaito Na pembeni katikati, nakatachi bila wasi Kamedata na Wasafi title Ai katoto, moto moto Moto moto, moto moto Aii baikoko, moto moto Joto joto, moto moto Kamata ukuta Shuka mpaka chini take it down zungusha Kamata nakupa Nikishika nyundo nipasue kichupa Oweoo weooo Kina dada mko wapi? Oweoo weooo Basi muingie kati Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa! Tingishika, tingisha Tingishika, tingisha Tingishika, tingisha Tingishika, tingisha