Baby
(专辑: Sound From Africa - 2021)
Mwanzo nilijua upo msalani Kama sio uko utakuwa nyumba ya jirani Nikapiga simu yako haipatikani Ndio unapokea sa' hivi mummy Upo sehemu gani Hata kama sijajibu naomba Samahani Ile njaa ya tumboni imepanda mpaka kichwani Sijakuaga ila jua ndio nipo njiani Ningependa niwe na wewe, ila uko utumwani Ningependa niwe na wewe, ila uko utumwani Inamaana umechoka sa mbona ni mapema Hizo shida zimechosha ntazeeka mapema Ni kweli ndani kuna masufuria Chakula hakuna, nini nitakupikia Na Kama tukipika basi bamia Kutwa nzima na njaa kama ngamia Nguzo ya upendo kusubiria Kwa nini unashindwa nivumilia Na mimi mbona ninakupigania Mummy rudi nyumbani, mola atajalia Aaah siwezi, kwa nini? Sirudi, sababu gani? Siwezi, aah Sirudi Nguo zangu zilivyochoka kama tambala ya deki Zimetoboka unaweza kusema net Huishi madeni, dukani kwa mangi mpaka bank Na ukirudi nyumbani, mfukoni huna cent Anapanga mola, kupata kukosa ridhiki Akinipa nashukuru na kama nikikosa sibishi Kwenye swala la mapenzi, mali si kitu iyoo Kwenye mapenzi, moyo kioa kitu iyoo Inamaana umechoka sa mbona ni mapema Hizo shida zimechosha ntazeeka mapema Ni kweli ndani kuna masufuria Chakula hakuna, nini nitakupikia Na Kama tukipika basi bamia Kutwa nzima na njaa kama ngamia Nguzo ya upendo kusubiria Kwa nini unashindwa nivumilia Na mimi mbona ninakupigania Mummy rudi nyumbani, mola atajalia Aaah siwezi, kwa nini? Sirudi, sababu gani? Siwezi, aah Sirudi