Zuena
(专辑: Sound From Africa - 2021)
Eyoo Trone Mocco! Kimaso maso aah Umenifuta machozi Umenifuta jasho aah Nimesahau machungu Naenjoy kwako aah Niko dunia nyingine eeh Nitachonga barabara Ya mapenzi nipite nawe Iwe imara imara Kwa ujenzi kokoto mawe Naomba sana sala Kwa Mwenyezi nizikwe nawe Unang'ara ng'ara mbalamwezi Sa acha ni mine Oh my God I
feel so lucky To have you in my life Oh my love, you are the
blessing brought for me from above Oh my love, I'll be your man forever Will you be my wife? Baba Lord atulinde mi nawe Together for life, yeah Unapendeza sana sana (Zue, Zuena) Unanimaliza sana sana (Zue, Zuena) Zuena aah (Zue, Zuena) Zuena, oh I
love you (Zue, Zuena) Zue, Zue, Zue, Zuena, Zuena Zue, Zue, Zue, Zuena, Zuena Kanitoa bahari ya kusi Kanileta mashariki (Zuena) Huyu sungura, mwenye nyeupe nyusi Hizi mbichi haziliki (Zuena) Nikupindue pindue Kama nageuza samaki (Samaki) Wasiojua wajue Nimekupenda sikuachi Umukwano Zuena (Zuena) Zuena Omulundi Zuena (Zuena) Zuena Oh my God I
feel so lucky to have you in my life Oh my love, you are the
blessing Brought for me from above Oh my love, I'll be your man forever Will you be my wife? Baba Lord atulinde mi nawe Together for life yeah Zuena Unapendeza sana sana (Zue, Zuena) Unanimaliza sana sana (Zue, Zuena) Zuena aah (Zue, Zuena) Zuena, oh, I
love you (Zue, Zuena) I'm addicting mum Falling for your love My heart twisting Ulinga ka suti blue Bueno na mukwano interesting Eeh chungu la macho mama Wanauliza mbona unanipenda Wanna put a
ring in your finger Wajua wanasema Vita si ya mjinga Maisha wawili Si tujatatenda ah ah aah Zue, Zuena, Zue, Zuena Zue, Zuena, eh eh eeh Unapendeza sana sana (Zue, Zuena) Unanimaliza sana sana (Zue, Zuena) Zuena aah (Zue, Zuena) I
love you Zuena Zuena oh, I
love you (Zue, Zue, Zuena) I
love you Zuena Zuena, Zue, Zue, Zue In everything you do do do I
love you, boo boo boo You are my Zue, Zue, Zue I
mean Zue, Zue, Zue You are my boo boo boo