Lala
(专辑: Sound From Africa - 2021)
Lala la, lala lala Lala la, lala lala (It's S2kizzy Beiby) Nawaza usingetokea ningeongea nini leo? (Aah) Bila ya penzi lako ningeenjoy nini leo? (Aah) Imekuwa bora alivyopotea ukatokea wewe leo Tena bila huruma yako ningetamba wapi leo? (Aah) Kwenye baridi Nikukumbate upate joto Twende kwa bibi Atupe baraka tuzae watoto Ngozi laini mtoto soap soap Tumbo la kuvalia crop top Vanessa wa nini? we don't talk talk Sitaki shobo nisha block block (Iyee) Lala la, lala lala Lala kifuani mmh Lala la, lala lala Kichuna lala usinzie Lala la, lala lala Nibembeleze nikuimbie Lala la, lala lala La la la... la la la Nikimuita sukari ananiita asali Lamba lamba pipi Kuku mwenye kidari, shepu ngangari La kuvunja kiti Fundi fundi kamba Za upendo wake kunibeba kwenda juu Wakimponda saa Hawajui ndo nazidi kumpenda tu Usiku kwenye kimvua mvua, tukivua vua Sema hata ajilaze kwenye kifua Unanijua jua, nakujua jua Masaji ya mafuta nikikuchua Ngozi laini mtoto soap soap Tumbo la kuvalia crop top Fahima wa nini? we don't talk talk Sitaki shobo nisha block block Lala la, lala lala Lala kifuani mmh Lala la, lala lala Kichuna lala usinzie Lala la, lala lala Nibembeleze nikuimbie Lala la, lala lala La la la... la la la Lala la, lala lala Lala kifuani mmh Lala la, lala lala Kichuna lala usinzie Lala la, lala lala Nibembeleze nikuimbie Lala la, lala lala La la la... la la la (Wasafi)