Kiuno
(专辑: Sound From Africa - 2021)
Baby baby ayi ayi ayi Michepuko ya zamani bye bye bye Mi najidai dai dai, oh we subiri shera dai dai dai Zungusha pepeta ungo, nipe mambo yakizania mafumbo Geuka onyesha umbo, jiachie wala usibane tumbo You're forever be my always aya yeh Cake of my birthday aya ye Director of my always, baby you turn Thursday to be holiday We ndio kiboko wa chunusi na harara, we zaidi yao (hao) Sura yako hata ukitoka kulala bado zaidi yao Basi kata taratibu (kiuno) Kiuno cha pakashungu (kiuno) Pangaboy feni bovu (kiuno) We pinda mpaka mugongo (kiuno) Nipe uno la uzazi (kiuno) Mpaka chini kwa udongo (kiuno) Basi kati katika (kiuno) Kama unatokea kongo (kiuno) Kanitesa Suzy eh, kanitesa Monica Kanitesa Shuvele, kanitesa Wini eh Ila si wewe wewe wewe mama mama Mhh shivonipele Yawawili mapenzi oh, watatu siwezi oh Usisikie maneno maneno maporojo watakuumiza roho roho oh Yawawili mapenzi oh, watatu siwezi oh Usisikie maneno maneno maporojo watakuumiza roho roho oh Maliza eh maliza eh, mama nipe yote Taamu nipe yote yote Maliza eh maliza eh maliza eh ah You're forever be my always aya yeh Cake of my birthday aya ye Director of my always, baby you turn Thursday to be holiday We ndio kiboko wa chunusi na harara, we zaidi yao (hao) Sura yako hata ukitoka kulala bado zaidi yao Basi kata taratibu (kiuno) Kiuno cha pakashungu (kiuno) Pangaboy feni bovu (kiuno) We pinda mpaka mugongo (kiuno) Nipe uno la uzazi (kiuno) Mpaka chini kwa udongo (kiuno) Basi kati katika (kiuno) Kama unatokea kongo (kiuno) Tupate moja moto moja baridi (cheza cheza bila kutoka jasho) Nyama choma supu ya digi digi (cheza cheza bila kutoka jasho) Kibosi bosi kipedeshee (cheza cheza bila kutoka jasho) Tumia pesa ikuzoee (cheza cheza bila kutoka jasho)