音效
界面
难度等级
口音
界面语言
1
和/或在社交方面支持我。网络:
Binadam
Eyoh… Yoh I'm back Bob Junior, I'm back Acha vita ianze Wamechelewa Ni we pekee unaejua wangapi binadamu wabaya (wabaya) Ndugu, rafiki, nani ana roho safi, nani ana roho mbaya (mbaya) Ni we pekee unaejua wangapi binadamu wabaya Mola, naomba nilinde niwe na upendo wa dhati Wote niishi nao sawa Nilipouanza mziki, mbali na dhiki Nimekutana na matatizo sana Sikuwa rafiki, sithaminiki Bado kidogo mie tu nikate tamaa Wangu moyo, ulivumilia dharau na masimango mi Mi wangu moyo, ulivumilia utumwa na manyanyaso di Yaani nahangaika usiku kucha naambulia patupu Nilikuwa naumia Moyoni najipa moyo kesho ntakuwa maarufu Mwisho wa siku nafulia Ile nahangaika usiku kucha naambulia patupu Nilikuwa naumia Najipa moyo kesho ntakuwa maarufu Mwisho wa siku nafulia Ni we pekee unaejua wangapi binadamu wabaya (wabaya) Ndugu, rafiki, nani ana roho safi, nani ana roho mbaya (mbaya) Ni we pekee unaejua wangapi binadamu wabaya Mola, naomba nilinde niwe na upendo wa dhati Wote niishi nao sawa Kidogo nakula na mama yangu Siwezi kuwasahau na ndugu zangu Upendo popote alipo kwa baba yangu Japo alinikataa Aa bata nakulaga mi na rafiki zangu Tunacheza Reggae na masikini wenzangu Alazwe pepa peponi na bibi yangu Mjukuu wake Sanana Sababu ya ugumu wa maisha Na maumivu ya mapenzi nikaandika "Kamwambie" Ndo hapo hustle zikaisha, kabariki Mwenyezi watanzinia wanizimie Asa hivi kwenye tamasha tu likitajwa jina watu wanashangilia Wengine furaha inazidi kina hadi kabisa wanalia Asa hivi kwenye tamasha yaani ikitajwa jina watu wanashangilia Wengine furaha inazidi kina hadi kabisa wanalia Ni we pekee unaejua wangapi binadamu wabaya (wabaya) Ndugu, rafiki, nani ana roho safi, nani ana roho mbaya (mbaya) Ni we pekee unaejua wangapi binadamu wabaya Mola, naomba nilinde niwe na upendo wa dhati Wote niishi nao sawa Eii tena wabaya sana Ouu wanakatisha tamaa Eii uh wabaya Tena wabaya Ouu aah Sana, wabaya sana Wabaya sana Mmh wabaya sana
完毕