音效
界面
难度等级
口音
界面语言
1
和/或在社交方面支持我。网络:
Lala Salama
Lala salama Matatizo, chuki, lawama Uki la lala salama Kumbatia picha yangu Kama ukinikumbuka sana Nipige simu yangu Uki! Uki la lala salama Kumbatia picha yangu Matatizo, chuki, lawama Vumilia mpenzi wangu Najua wivu ndio mapenzi Ila chunga usizidi Si unajua kwako sijiwezi Ila dhiki imebidi Mi nili tamani si ni kuwa nawe Tuwe wote usiku na mchana Kilichofanya mi nipagawe Sina chcochote cha kuwalisha wana Niliupokea kwaunyonge Msiba wakaka bona Ile barua yako wa mwisho Ilinitonesha vidonda Usijali, nilai kipenzi changu Ukazani nimekumbwa, na pepo la starehe Mambo bado magumu kwangu Afadhali hata ya jana, ya kesho niombe Uki la lala salama Kumbatia picha yangu Kama ukinikumbuka sana Nipige simu yangu Uki! Uki la lala salama Kumbatia picha yangu Matatizo, chuki, lawama Vumilia mpenzi wangu Ile 'kuo uone', nilidhani maghorofa Ah! Kumbe mwana ukome Hakuna cha kuokota Mi bado nakaza moyo changu kipenzi Ilia naumia kwa kuwa mwenyewe Natamani ila siwezi Nazitafuta nije kula na wewe Msalimu mama nyumbani Usisema kama nahenya Tai! Mfiche mpe imani Karibu ntakuo chema Usijali, nilai kipenzi changu Ukazani nimekumbwa, na pepo la starehe Mambo bado magumu kwangu Afadhali hata ya jana, ya kesho niombe Uki la lala salama Kumbatia picha yangu Kama ukinikumbuka sana Nipige simu yangu Uki! Uki la lala salama Kumbatia picha yangu Matatizo, chuki, lawama Vumilia mpenzi wangu
完毕