音效
界面
难度等级
口音
界面语言
1
和/或在社交方面支持我。网络:
Mdogo Mdogo
Ah Oh, nimetembea tembea Bara na visiwani Ila nikajonea We ndio my number one Natamani nikupe ila sina... Nimejaliwa upendo hajima... Maneno yao matamu Yasikuibe mama Si unajua binadamu Wabaya sana Wana wivu hao (hao, hao) Wachonganishi hao (hao, hao) Wana wivu hao (hao, hao) Wachonganishi hao (hao, hao) Usije niacha kwa uyonge Nachechemea Utamu wa finyango na tonge Ukanielemea Usije niache kwa uyonge Nachechemea Utamu wa finyango na tonge ukala kwangu Mwendaazimu kaingiaje (Asije kitorondo) Mwendaazimu kaingiaje (Akanikatia na Uhondo) Mwendaazimu kaingiaje (Kitorondo, kitorondo, eh) Mwendaazimu kaingiaje (Ikinasa mpaka uondoe) Mwendaazimu kaingiaje (Oh, kitorondo) Mwendaazimu kaingiaje (Akanikatia na Uhondo) Mwendaazimu kaingiaje (Ikawa nyumba ya shetani) Mwendaazimu kaingiaje Ah, kidogo nikileta Mumypti usinune Nikumbatie unikiss nijivune Kesho nizidishe ufanisi nijitume Tujenge hadi nyumba Paris Wanune Vimichezo michezo vya Saloon chunga wakipanga Wasije kukufunza vya uhuni ukawa unadanga Tai Ukaanza safari Mchana jua kali Usiku haulali Aya... Oh, ukaanza safari (eh) Mchana jua kali (eh) Usiku haulali Ayaya Wana wivu hao (hao, hao) Wachonganishi hao (hao, hao) Wana wivu hao (hao, hao) Wachonganishi hao (hao, hao) Oh, ukaanza safari (eh) Mchana jua kali (eh) Usiku haulali Ayaya Mwendaazimu kaingiaje (Asije kitorondo) Mwendaazimu kaingiaje (Akanikatia na Uhondo) Mwendaazimu kaingiaje (Kitorondo, kitorondo, eh) Mwendaazimu kaingiaje (Ikinasa mpaka uondoe) Mwendaazimu kaingiaje (Oh, kitorondo) Mwendaazimu kaingiaje (Akanikatia na Uhondo) Mwendaazimu kaingiaje (Ikawa nyumba ya shetani) Mwendaazimu kaingiaje Vipi tena? Hai tena kwa ndio tuu kwabiwa Asante Thomas Mdogo mdogo (tai) Mdogo mdogo (ah, usijali mama) Mdogo mdogo (we wacha waonge) Mdogo mdogo (usiku na mchana) Mdogo mdogo (ah, mpaka wayonge) Mdogo mdogo (na ntakupenda sana) Mdogo mdogo (Mahaba ninyonge) Mdogo mdogo (sijali lawama) Mdogo mdogo (acha wanizonge) Mdogo mdogo (oh, kachiri kachiri) Mdogo mdogo (kachiri we ngao yangu) Mdogo mdogo (mwenzako taabani) Mdogo mdogo (nilinde roho yangu) Mdogo mdogo (wasije wa furani) Mdogo mdogo (wakaiba tamu yangu) (Wasafi...) Aga mwendaazimu kaingiaje Ah, mwendaazimu kaingiaje Ah, mwendaazimu kaingiaje Oh, mwendaazimu kaingiaje (Mdogo mdogo, mdogo mdogo) Aga mwendaazimu kaingiaje (Mdogo mdogo, mdogo mdogo) Ah, mwendaazimu kaingiaje (Mdogo mdogo, mdogo mdogo) Ah, mwendaazimu kaingiaje (Mdogo mdogo, mdogo mdogo) Oh, mwendaazimu kaingiaje Ha ha Mwendo abi palaa
完毕