音效
界面
难度等级
口音
界面语言
1
和/或在社交方面支持我。网络:
Naanzaje
Aliumba ardhi akaumba mbingu Akaumba mbaramwezi Kaumba nafsi, Kaumba wivu Akayaumba na mapenzi Na kukuacha sidhan Siwezi jaribu Maana penzi kwa mzani Umenizidi mahabibu Shika vyema usukani Twende taratibu Baada Ya tuta baby Koleza gia Yani tam tam kama pipi Nakuita sweet Ah lote lote Fundi kwenye kwichikwichi Shape vipi Kama lote Vicheche nisha delete Sitaki cheat Wa toke toke Kwenye moyo nimekupa seat We ndo dereva, sio wa kukuacha oh Naanzaje, Naanzaje, Naanzaje Mwenzako kukuacha siwezi Naanzaje, Naanzaje, Naanzaje Kukuacha oh, kabisa siwezi Hadithi kuja hadithi njoo Utamu kolea Mzenzenu huba liko kwa roho Limeninogea Vishenshuda poleni wooo Mnalo wambeya Mtaja kuumwa makwasha koo Kwa kutuongelea Tena me kwake ndo daktari Nampa tiba halali Wanaitaga sukari Alamba haam Na jana nilifunga nkasali Nikamuomba jalali Tuepushe madhohari Ya wanadamu Ah ah, we tam tam kama pipi Nakuita sweet Ah lote lote Fundi kwenye kwichikwichi Shape vipi Kama lote Vicheche nisha delete Sitaki cheat Wa toke toke Kwenye moyo nimekupa seat We ndo dereva, sio wa kukuacha oh Naanzaje, Naanzaje, Naanzaje Mwenzako, kukuacha siwezi Naanzaje, Naanzaje, Naanzaje Kukuacha oh, kabisa siwezi Na kukuacha sidhani Siwezi jaribu Maana penzi kwa mzani Umenizidi mahabibu Wasafi
完毕