音效
界面
难度等级
口音
界面语言
1
和/或在社交方面支持我。网络:
Ntaanzaje
(Ayolizer) Aliumba ardhi akaumba mbingu Akaumba mbaramwezi Kaumba nafsi, kaumba wivu Akayaumba na mapenzi Na kukuacha sidhani, siwezi jaribu Maana penzi kwa mzani, umenizidi mahabibu Shika vyema usukani, twende taratibu Baada ya tuta baby koleza gear Yaani tam tam kama pipi Nakuita sweet, ah lote lote Fundi kwenye kwichikwichi Shape vipi? Kama lote Vicheche nisha delete Sitaki cheat, wa toke toke Kwenye moyo nimekupa seat We ndo dereva, so kukuacha oh Naanzaje? (Ooh mimi) Naanzaje? (Aah mimi hapa) Naanzaje? Mwenzako kukuacha siwezi Naanzaje? (Ooh mimi) Naanzaje? (Aah mi jamani) Kukuacha oh, kabisa siwezi Hadithi kuja hadithi njoo, utamu kolea Mwezenu huba liko kwa roho, limeninogea Vishenshuda poleni woo, mnalo wambeya Mtaja kuumwa makwashakoo, kwa kutuongelea Tena me kwake ndo daktari, nampa tiba halali Wanaitaga sukari, alamba haa! Na jana nilifunga nikasali, nikamuomba Jalali Tuepushe madhohari, ya wanadamu Ah ah, we mtam tam kama pipi Nakuita sweet, ah lote lote Fundi kwenye kwichikwichi Shape vipi? Kama lote Vicheche nisha delete Sitaki cheat, wa toke toke Kwenye moyo nimekupa seat We ndo dereva, so kukuacha woo woo Naanzaje? (Ooh mimi) Naanzaje? (Aah mimi hapa) Naanzaje? Mwenzako kukuacha siwezi Naanzaje? (Ooh mimi) Naanzaje? (Aah mi jamani) Kukuacha oh, kabisa siwezi Na kukuacha sidhani Siwezi jaribu Maana penzi kwa mzani Umenizidi mahabibu (Wasafi)
完毕