音效
界面
难度等级
口音
界面语言
1
和/或在社交方面支持我。网络:
Usia
(专辑: High School - 2021)
Watoto wangu nyie mimi baba yenu Nina nguvu sana za kuua hata simba Simba na makali yote Akimuona tembo anachimba Ila hainivimbishi kichwa Nachapa kazi siendekezi majungu Ridhiki anayegawa ni Mungu Eti niende kwa mganga piga nyungu Nimroge fulani awe pungua Mungu akikupa kilema lazima atakupa na mwendo Lipiza mabaya kwa wema kula maisha bila upendo Kumdharau usiyemjua ni dhambi, dhambi Mtangulize Mungu na dua popote kambi, kambi Yeah this life is a
gamble Basi jitahidi kuwa humble Usimdharau mama wa kambo Huenda alisha kusifu kitambo Ni usia (Huu ni usia, usia wa tembo) Hii dunia tunapita (Huu ni usia, usia wa tembo) Usiendekeze vita (Huu ni usia, usia wa tembo) Usijione special special (Huu ni usia, usia wa tembo) Ju hauijui kesho kesho kesho Ukikosa elimu bora sio mwisho wa maisha yako Na kuishi chini ya dola Wala hailkuwa matakwa yako Cha mtu ni mavi Achana nacho tafuta chako hata kichelewe Uwe na meza ama jamvi ridhika na ulichonacho Omba kwa Mungu upewe Kingi, usijione queen ama kingi Nakujisifu akili nyingi Kisa unamiliki shilingi, shilingi Mmmh punguza idadi ya maadui Maana atakaye kuzika humjui Mwambieni huyo kaka anajiita chui Aache kudandia bifu chanzo hukijui Kumdharau usiyemjua ni dhambi, dhambi Mtangulize Mungu na dua popote kambi, kambi Yeah this life is a
gamble Basi jitahidi kuwa humble Usimdharau mama wa kambo Huenda alisha kusifu kitambo Ni usia (Huu ni usia, usia wa tembo) Hii dunia tunapita (Huu ni usia, usia wa tembo) Usiendekeze vita (Huu ni usia, usia wa tembo) Hakuna haja kuduniashiana misuli (Huu ni usia, usia wa tembo) Dunia hakuna anayeijua vizuri Zaidi ya Mungu baba, Mungu baba baba Usia wa Tembo, Konde boy
完毕