音效
界面
难度等级
口音
界面语言
1
和/或在社交方面支持我。网络:
Jeshi
Sometimes what you dream Can be deceiving Na huwezi kuvuna usichokipanda Thanks God for giving Ghetto sikuwa na umeme wala cable Hizi moja T-Shirt na yebo Ati leo namiliki lebo Lebo, Konde Gang lebo Konde boy Jeshi!, Jeshi! Konde boy Jeshi!, Jeshi! Siku hizi wananiita Tembo, Jeshi! Konde boy Jeshi!, Jeshi! Konde boy Jeshi!, Jeshi! Siku hizi wananiita Tembo, Jeshi! Siku zote kisicho kuua Kitakufanya uwe ngangari Ata mwanga huwezi kumjua So ishi nao kwa tahadhari One love kwa wanangu wa Insta Nyie ndo mnanunua CD Two love kwa wanafiki wa Insta Mnafanya niongeze bidii Three love kwa mastaa Zilifanya hasira zizidii Four njia ngumu nilizopita Mkanipa na jina mkasema niitwe (Jeshi!) Jeshi! Konde boy Jeshi!, Jeshi! Konde boy Jeshi!, Jeshi! Siku hizi wananiita Tembo, Jeshi! Jeshi! Konde boy Jeshi!, Jeshi! Konde boy Jeshi!, Jeshi! Siku hizi wananiita Tembo, Jeshi! Mi naamini Mungu yupo tena Naongea nae japo sisikii sauti yake Nikianguka ntainuka tena So usishangae why Tembo anahustle peke yake Coz I
know, unapokiokota Ndo wakati wakukitunza Ili kesho kisije potea Na unaposota ndo wakati wa kujifunza Ili ujue wapi ulipo upo Sio kama siwezi kujibizana Ila mwenzenu nimeumbwa na subira Ona madili yanavyogogana Coz nina nyota ya Libra Siwaoni walotumwa kunitukana Vichwa vyao kimya Tena siku hizi siimbi sana Wacha washindane na Ibrah One love kwa wanangu wa Insta Nyie ndo mnanunua CD Two love kwa wanafiki wa Insta Mnafanya niongeze bidii Three love kwa mastaa Zilifanya hasira zizidii Four njia ngumu nilizopita Mkanipa na jina mkasema niitwe (Jeshi!) Jeshi! Konde boy Jeshi!, Jeshi! Konde boy Jeshi!, Jeshi! Siku hizi wananiita Tembo, Jeshi! Jeshi! Konde boy Jeshi!, Jeshi! Konde boy Jeshi!, Jeshi! Siku hizi wananiita Tembo, Jeshi!
完毕