音效
界面
难度等级
口音
界面语言
1
和/或在社交方面支持我。网络:
Kamaliza
(专辑: High School - 2021)
Eyoo Kenny Tito hii hapa sauti ya Jemedari, kanali amri jeshi mkuu Konde Boy Now we're back where we belong Nasema mtoto wa nyumba ile Nyumba ile, nyumba ile (Hana haya) Mtoto wa nyumba ile Nyumba ile, nyumba ile (Hana haya) Mtoto wa nyumba ile Nyumba ile, nyumba ile (Hana haya) Mtoto wa nyumba ile Nyumba ile, nyumba ile Mwenzenu pesa kidogo anajiona kamaliza Eti kisa kasoma ulaya anajiona kamaliza Mwenzenu Insta ana 10k anajiona kamaliza Na nywele za kuazima anajiona kamaliza Na make-up za kuunga unga anajiona kamaliza Makalio ya kichina anajiona kamaliza Kisa kibabu kinamhonga anajiona kamaliza Limama limemweka ndani anajiona kamaliza Eti kisa ana sumu mpya anajiona kamaliza Yeye kutwa yupo tungi anajiona kamaliza Tena anajisifu ukitaniana wakimbiza Eti kisa ana danga jipya anajiona kamaliza Nasema mtoto wa nyumba ile Nyumba ile, nyumba ile (Hana haya) Mtoto wa nyumba ile Nyumba ile, nyumba ile (Hana haya) Mtoto wa nyumba ile Nyumba ile, nyumba ile (Hana haya) Mtoto wa nyumba ile Nyumba ile, nyumba ile Watoto wa banda, Zuu na kunasia Kipengo hapa Amri Kuu jeshi Konde boy Mama mpeeni mbeleko amlee mwanawe Nasema mama mpeeni mbeleko amlee mwanawe Mama mpeeni mbeleko amlee mwanawe DJ Tito piga magoma tuwarushe masela Mwanangu Tito piga magoma tuwarushe majita Ah fanya kama unasusa, we unasusa Mpaka chini unagusa, we unagusa Fanya kama unasusa, we unasusa Mpaka chini unagusa, we unagusa Eti kisa ye ndo kijumbe, anajiona kamaliza Dada yenu kachumbiwa anajiona kamaliza Eti kisa we sungusungu unajiona kamaliza Eti kisa baba yake kiongozi anajiona kamaliza Siku hizi anapanda ndege anajiona kamaliza Zikiisha mto kahamu anajiona kamaliza (Tito yii) Utasema hanifahamu anajiona kamaliza Eti kisa amenizalia anajiona kamaliza Na mwanenu amepata kazi anajiona kamaliza Siku hizi masikani hatokei anajiona kamaliza Na hata simu zangu hapokei anajiona kamaliza [?]
完毕